Name
Hosea
Member since
July 2017
On-time repayments
9 installments • 33%
mimi naitwa hosea wachira kirenge .kwetu ni county ya kirinyaga mwea sub cunty mutithi division rukanga sublocation. nimezaliwa na kulelewa kirinyaga.nimeoa na niko na watoto wanne
mimi nafanya biashara ya bodaboda na ningetaka loan ya kufanyia repair moja ya boda yangu.niko na boda tatu na moja ilipata ajari ikahalibika kiasi lakini itakua sawa
nataka kuazisha biashara ya mboga na makaa maana tukiwa na mama watoto biashara itaendelea vizuri .nikienda kutafut makaa nitawacha mama watoto akiendelea na kazi.biashara ya makaa hfanya vizuri sana hapa.nitahukuru sana kupata mkopo .nitaripa mkopo kwa wakati ufaao mama natakuendelea kua mteja wenu .asante sana.loan nitalipa wakati na nitashukuru sana.
makaa ni gunia moja ya kuanza..
Positive
None
Neutral
None
Negative
None
Project Type
Classic Loan
Disbursed amount
$5.00
Date disbursed
Sep 5, 2017
Repayment status
On Time
Projected term
5 weeks
Other loans
Amount repaid
$4.12
Amount remaining
$0.00
Date repaid
Nov 2, 2017
Status
Fully repaid
Expected Payments | Actual Payments | ||
---|---|---|---|
Sep 12, 2017 | $0.98 | Nov 2, 2017 | $0.98 |
Sep 19, 2017 | $0.98 | Nov 2, 2017 | $0.98 |
Sep 26, 2017 | $0.98 | Nov 2, 2017 | $0.98 |
Oct 3, 2017 | $0.98 | Nov 2, 2017 | $0.98 |
Oct 10, 2017 | $0.20 | Nov 2, 2017 | $0.20 |
Ask Hosea a question about this project, share news and photos of your own, or send a simple note of thanks or inspiration.