Godfrey
Mombasa, Kenya
$0 to go
100% funded of $11 goal
0
days left
Name
Godfrey
Member since
May 2018
On-time repayments
2 installments • 0%
Nilipitia hali ngumu ya maisha kupata elimu baada ya baba mzazi kufariki dunia, lakini nilijikaza na vibarua ndogondogo pamoja na waisani hadi nkapata kusoma hadi kidato cha nne.
Nilipata kazi ya kwanza Roberto's Restaurant Nyali kama cleaner, nkachukuliwa na kampani la usafi EPHESTACIA LTD ndo nkafungua kinyozi ndogo mtaani kwa ajili ya kujiendelesha kimaisha.
Nataka kununua heater ya kuboil maji ili inisaidie kuisha wateja wangu vichwa, pia naitaji kuchapisha chapa za kueza kuuza biashara yangu
Positive
None
Neutral
None
Negative
None
Project Type
Classic Loan
Disbursed amount
$11.00
Date disbursed
May 10, 2018
Repayment status
Late
Projected term
2 weeks
Amount repaid
$0.00
Amount remaining
$11.66
Expected completion
May 27, 2018
Status
Repaying late
Installment amount
$9.85
Expected Payments | Actual Payments | ||
---|---|---|---|
May 20, 2018 | $9.85 | ||
May 27, 2018 | $1.80 |
Ask Godfrey a question about this project, share news and photos of your own, or send a simple note of thanks or inspiration.